kwa wazungu densi ni kijitikisatikisa na kurukaruka ama kujipanga - TopicsExpress



          

kwa wazungu densi ni kijitikisatikisa na kurukaruka ama kujipanga panga kama gwaride flani,kuzunguka mduara,kurusha mikono na miguu na kazalika,loh ,kwani sisi waafrika tulitoka wapi nakusakata,kukatika,kusokota kiwiliwili,kuzungusha kiuno,hata kubinukabinuka,kwenda na midundo sambamba kana kwamba mchezaji densi kawa ala ya mziki yenyewe. ilikuakuaje? swala nyeti nafa kucheka umati hapa nlipo bonge la bichi party.
Posted on: Wed, 07 Aug 2013 21:06:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015