mazee, -kufeli shule sio kufeli maisha. Kuna watu kibao ambao - TopicsExpress



          

mazee, -kufeli shule sio kufeli maisha. Kuna watu kibao ambao darasani walikuwa wazuri,ndo wanaongoza darasa siku zote lakini leo hawana lolote,yaani namaanisha ushawapita mbali sana. -Na pia,unapofaulu shule,usimdharau yule.ambae hajafikia level yako,au alofeli. Maisha anapanga Mungu. -Unaweza kushangaa,kuona mtu alikuwa rafiki yako wa karibu zamani ila toka aende high school au chuo basi,kajiona wa upper class,mwisho wa siku akidondoka anaangukia pua. -Wengine,wakipata hata nafasi za kwenda nje,akirudi tz basi wale washakaji zake anawaona wako chini kweli,sawa ila jua aliekupa ww ndo alimnyima huyo,na ipo siku atamfikiria. Anza na like,sema chochote,twende kaazi
Posted on: Tue, 15 Oct 2013 05:18:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015