mimi ni msichana nina miaka 26 nna mpenzi wangu ambaye tumedumu - TopicsExpress



          

mimi ni msichana nina miaka 26 nna mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili sasa.huyu mpenzi wangu huwa hataki nimuone akiwa uchi yani hata akienda bafuni huwa anabeba nguo za kubadilisha kwa hiyo akioga huwa anavalia bafuni.siku tukiwa kitandani huwa anavulia nguo ndani ya shuka na nimejaribu kumuuliza anadai kwamba yeye ana aibu sana kwa hiyo anaona aibu kuwa uchi mbele yangu.hivi jamani kuna watu wenye aibu za hivi?
Posted on: Mon, 23 Sep 2013 08:22:17 +0000

Trending Topics



>
Barbada!!! sitio lagoa da serra- araranguá escriturado
How does it become Saturday when yesterday was Monday? My life

Recently Viewed Topics




© 2015