msiulize mbona nimeamka mapema hvi na sio kawaida yangu...mimi - TopicsExpress



          

msiulize mbona nimeamka mapema hvi na sio kawaida yangu...mimi niko na shida moja kubwa sana,shida yenye niko nayo ni ya BED BUGS.aki mimi sijui nifanyaje juu hzi bedbugs za university of nairobi zimekuwa too much yawa.kutoka utotoni mm sijawahi ona ama kuumwa na bedbugs.mm huskia kuna wanyama huitwa bedbugs na hunyonya m2 damu akiwa amedoz.kwanza i thot bedbug ni mdudu size ya cockroach,kumbe ni kamnyama kidogo hvi.bedbugs nimezionea mara ya kwanza uni y lie na zimenipatpia headache ata karibu nipatwe na wazimu.mimi nimerealize bedbugs r no jokes.yaani nimejikuna usiku mzima hadi nikahisi njaa,kuamka mabedbugs zimejaa kwa sheets zangu na zimenona sana vile zimekunya damu yangu healthy.natoboa bedbug moja inatoka damu.hii shule bana haitushughulikii ipasavyo pande ya student welfare jo,students body ni kama ilidedi kitambo juu mashida kama hzi they cant even air them.msiseme ati mm ni mchafu ndo maana napatwa na bedbugs,yaani ni kama kila m2 anateta.sasa nataka mnishow dawa poa ya bedbugs!ni ipi.
Posted on: Tue, 16 Jul 2013 01:21:44 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015