mwanzoMakala MAKALA Tunapokaribia 2015, JK akumbuke zigo la - TopicsExpress



          

mwanzoMakala MAKALA Tunapokaribia 2015, JK akumbuke zigo la ahadi SHARE BOOKMARKPRINTEMAILRATING “Wakati wa kampeni nilibezwa sana, lakini sasa ninawaomba walionibeza kufika vijijini na kuangalia ukamilishaji wa ahadi zangu. Nataka waje waone, kwa sasa ninakamilisha usambazaji wa umeme katika vijiji vyote ili kufikia lengo la Watanzania asilimi 30 kufikiwa na nishati hiyo. Hadi 2015 umeme utakuwa umesambaa nchi nzima. Rais Kikwete Na Elias Msuya, Mwananchi Posted Jumatano,Septemba18 2013 saa 15:36 PM KWA UFUPI Rais Kikwete alisema Serikali inajipanga kusambaza umeme na kufikiwa vijiji vyote na kubainisha kuwa mpango huo unakwenda sambamba na uanzishaji wa vyanzo vipya vya umeme ili viweze kuzalisha megawati 3,000 ifikapo mwaka 2015 na kwamba ziada itauzwa nje ya nchi.
Posted on: Thu, 19 Sep 2013 21:48:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015