sikia hii#AFANDE AKIMTONGOZA DEMU KWENYE SIMU#Dia unajua - TopicsExpress



          

sikia hii#AFANDE AKIMTONGOZA DEMU KWENYE SIMU#Dia unajua nakuthamin zaid ya RUSHWA na POSHO.bila wewe mimi siwez kuish ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio nakuheshimu kama ninavyoheshimu LINDO Wewe ni IGP wa moyo wangu mbona upo kimya nina RB ya penzi lako.nijibu nifungue JALADA lako ndani ya moyo wangu usifanye moyo wangu ukaenda mbio kama difenda mpya ya polisi nakuhakikishia usalama kama MSAFARA WA RAIS.
Posted on: Sun, 01 Sep 2013 10:06:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015