uSHAURI WA BURE UKIPENDA USIKILIZE USIPOPENDA - TopicsExpress



          

uSHAURI WA BURE UKIPENDA USIKILIZE USIPOPENDA UPOTEZEE. [[f9.like]] [[f9.like]] A/c najua ni yako, hakuna wa kukupangia vya kufanya ktk hiyo A/C uliyonayo ukiamua usi-like wala ku-comment post zetu hatutakuuliza coz, hatukununulii bando. ILA kwanini unatudharau sisi tusio pata Like na Comment nyingi? Au sisi sio binadamu kama wengne? Mbona unakuwa na ubaguzi wakati sisi tunakupa Sapoti la nguvu humu ndani kwanini wewe huna ushirikiano nasi?
Posted on: Sun, 15 Sep 2013 08:00:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015