unakumbuka ukifanya exam Math alafu: *watu wanatoa ruler but - TopicsExpress



          

unakumbuka ukifanya exam Math alafu: *watu wanatoa ruler but wewe huoni place ina apply *watu wanaitisha extra paper na wewe umemaliza na paper haijafika halfway. *umepewa graph paper na unarudisha kama hujaitumia *watu wanachora diagrams na pencil ,wewe hujui nini inachorwa but pia unatoa pencil ndio uache kushtuka. *mnaulizwa nani amemaliza, unaamka unajipata uko solo, unafil aibu hadi unaketi
Posted on: Mon, 15 Jul 2013 13:46:57 +0000

Trending Topics



ht:30px;"> “Global Research is the leading research source on the

Recently Viewed Topics




© 2015