unakumbuka ukifanya exam maths alafi: >Watu wanatoa ruler but wewe - TopicsExpress



          

unakumbuka ukifanya exam maths alafi: >Watu wanatoa ruler but wewe huoni place ina apply.... >Watu wanaitisha extra paper na wewe umemaliza na paper haijafika halfway >Umepewa graph paper na unarudisha kama hujaitumia...... >Watu wanachora diagrams na pencil,wewe hujui nini inachorwa but pia unatoa pencil ndio uache kushutuka........ >Mnaulizwa nani amemaliza unaamka unajipata uko solo unafil aibu hadi unaketi ## hit like and coment kama umepatikana##
Posted on: Mon, 15 Jul 2013 09:24:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015