vitu unafaa tu kujua hata panga iwe kali aje haiwezi kata kiu. - TopicsExpress



          

vitu unafaa tu kujua hata panga iwe kali aje haiwezi kata kiu. hata uwe kinyozi aje huwez nyoa vichwa vya habari. hata uwe msafi aje huwez nawa mkono wakati wakukula hongo. hata ukule kiapo mara mia njaa itabaki pala pale. hata uwe na magari mia chooni utaenda miguu. hata uwe fundi aje huwez repair breaking news. NA LA MWISHO hata manzi ajifanye maringo aje,pia simba ni mkali na hutiwa mimba!!!
Posted on: Thu, 17 Oct 2013 15:06:29 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015