wacha nmpe stori i hope hamtanichekelea.. Afta kumaliza primary na - TopicsExpress



          

wacha nmpe stori i hope hamtanichekelea.. Afta kumaliza primary na kufail kujoin ile shule nlikuwa nimeitwa coz walikuwa nadai doh mob xo ikawa ni zamu yangu kutafuta shule ingine. Nlipata shule moja sitataja jina bt iko side za webuye . Tulipofika tukakutana na mlinzi ikawa hivi:- sisi: hivi hiki chuo kinafundisha mzuri eeeh? MLINZI: ni kizuri kwasababu nilimaliza hapa na nimepata kazi hapa hapa. wah! Wah! Sema kutoka tekeh! #mzito
Posted on: Sun, 20 Oct 2013 10:48:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015