»»wanaziba ninapopita mipango yangu wanaikwamisha, mtu gani hana - TopicsExpress



          

»»wanaziba ninapopita mipango yangu wanaikwamisha, mtu gani hana malengo?- nipe line nipe chanel uone ninavyo fanya,, maisha ndiyo haya hawataki ningae najiuliza hei! hei! mbona safari nakaza lakin siendelei?, nisha gundua tatizo nini@ kwanini mbna hamsomi? au mnataka niamue? aaa... wewe gari mimi jeki ndiyo maana nakaza wananishika shati! kila ninacho fanya huwa kwanza nawaza sitaki kujuta kubwa najali muda, MMEAMKAJE JEMEDARI WANGU? GOOD DAYA GAYZ.,
Posted on: Tue, 29 Oct 2013 04:28:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015