watu amkeni tujenge kenya bila sisi hakuna kenya ila sisi tuu ndio - TopicsExpress



          

watu amkeni tujenge kenya bila sisi hakuna kenya ila sisi tuu ndio tutaimarisha uchumi wetu kama wakenya ilituweze kujitegemea kwa kulipa ushuru.ewe mungu muumba wa vyote ibariki nchi yetu kenya na sirikari yetu twaiweka mikononi mwako na hata viongozi wetu bila kusahao jeshi letu,police wetu,madaktari,walimu wetu waliogoma warudi shule,na wafanyikazi wote wa sirikali na hata raiya wote wa kawaida mungu baba naomba pia uwabariki kwa wema wako ila yakuahao utupe amani katika inchi yetu ya kenya.mungu baba na kuomba uyapokee maombi yangu asubuhi ya leo.
Posted on: Sat, 13 Jul 2013 23:43:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015