(y) Yaani mie napenda ila sipendwi,aah yaani nimechukia kabisa - TopicsExpress



          

(y) Yaani mie napenda ila sipendwi,aah yaani nimechukia kabisa hadi nimeacha kuoga... (y) Yaani mie nakuita hata huitiki,aah yaani nimechukia hadi nimepoteza hela.... (y) yaani mie nimeanguka shimoni hadi nimeteguka mguu,kweli nimechukia kabisa mpaka nimelala nikapitiwa na usingizi nilipolala... (y) yaani nimepanga tulime kwa siku 7 wewe umemaliza kwa siku 2,hizo siku 5 nitakuwa nafanya nini?,we mwanamke hunifai,yaani nimechukia kabisa hadi unipikie uji kwa hasira nilizonazo... (y) yaani wewe mtoto wa kike umeumbika vizuri kunizidi! yaani nimechukia sana hadi nimekupenda sana kwa hasira nilizonazo juu yako.... oyooo! kama vipi tupia kilichokuudhi na maamuzi uliyochukua...
Posted on: Wed, 06 Nov 2013 04:29:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015