zIFUATAZO NI SIFA KUU ZA MWANAMKE NA MWANAUME MFUPI. 1. Jeuri - TopicsExpress



          

zIFUATAZO NI SIFA KUU ZA MWANAMKE NA MWANAUME MFUPI. 1. Jeuri sana. 2. Anapenda kuigaiga vitu. 3. Ana Wivu kupita kiasi. 4. Sio muwazi. 5. Anapenda sana kuongopa {Muongo muongo} 6. Huwa hajiamini ktk mambo yake. 7. Hashauriki wala sikii. . . . For real Mchunguze dem/ boy wako akikosa japo hata sifa moja wapo kati ya hizo. Amini dini Imemtawala ktk maisha yake nani Mcha Mungu sana. . . . Lakini kana sio Mcha MUNGU hajaishika dini ipasavyo halafu hana sifa hata moja wapo kati ya hizo hapo. Mungu wangu unashea na wengi mnoo. POLE FANYA MABADILIKO SASA. HEBU MBADILISHE MAPEMA KABLA HUJAJUTA MBELENI.
Posted on: Wed, 02 Oct 2013 05:56:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015