zaidi ya 50% ya movie za kibongo ni love story. asilimia 45 - TopicsExpress



          

zaidi ya 50% ya movie za kibongo ni love story. asilimia 45 matukio yake ya mwendelezo yana tabirika asilimia 15 idear zinafanana.nina uhakika kwa tanzania ya leo kuna waandishi creative sijajua ni kwa sababu gani tunashindwa kuatumia. sijajua ni suala la ubinafsi au ni suala la maslahi.nchi za wenzetu kuna vitengo vya kununua script ama story tanzania sijapata ona. kwa makampuni na wasanii binafsi ninachohisi ni kujali maslahi, love story na comedy za kibongo hazina cost kubwa kuproduce may be thats is the reason. then kuandika story na script ni kipaji na professional wasanii wengi wana kipaji cha cha kucheza tu. ili kuwepa gharama za manunuzi wanaandika wao wenyewe.kama umesha fuatila utaniunga mkono kwenye movie utakuta story writer ni zagamba junior,script zagamba junior, director zagamba junior, asisntance director mary junior,location manager, happy junior yaani crew nzima ndi ndugu labda upande wa editors,.... hahahaha ni mtazamo wangu tu fancy
Posted on: Wed, 04 Sep 2013 06:50:11 +0000

Trending Topics



lass="sttext" style="margin-left:0px; min-height:30px;"> Getcashforsurveys.Com Fake CHECK REVIEWS >>
"É o Judiciário, nos países civilizados, o supremo guardião
...para que opines...es tu patria Chile: golpes, plebiscitos,
VENDORS: here is the line up for April 19th car show. If I have
CONTEST UPDATE: 3:45pm I OFFICIALLY FINISHED COUNTING,
Confira a lista dos selecionados para se apresentarem no 15ª
Copic Sketch Markers Rose Quartz SM-V0000; 3 Items/Order,
Right guys an offer that cannot be missed out on. Our Wedding

Recently Viewed Topics




© 2015