ღNtakuwa Mnafki Kama Kila Post Ntakayo Kuwa Natoa Niwe Nasema - TopicsExpress



          

ღNtakuwa Mnafki Kama Kila Post Ntakayo Kuwa Natoa Niwe Nasema ♥NAWAPENDA RAFIKI ZANGU♥ ღKama Baadhi Ya Watu Wanavofanya Kwenye Kila "POST" Wanazotoa, Huku Kwenye Mioyo Yao Wakiwa Wamepandikiza ♦WIVU ♦CHUKI ♦UNAFKI ♦ROHO MBAYA ♦UCHONGANISHI ღHuku Mioyo Yao Ikiwa Imeficha Siri Na Huku Sura Zao Zikiwa Zimebeba Matabasamu Ya Uongo,,,,,,,,Fikra Wakijua Kwmba Wnasema Uongo Mbele Za MUNGU ღMi Kwangu Nipo Tofauti, Ntakuwa Muongo Na Mnafki Nikisema Nawapenda Wote Humu, Japo Naweza Kusema Hivo Ila Kwangu Ni Ngumu Kusema Uongo! Acha Niseme "NAWAPENDA" Baadhi, Wale Wenye Umuhimu Kwangu Ila Wengine Acha Nibaki "KUWAKUBALI" Tu!!!
Posted on: Sat, 24 Aug 2013 12:10:44 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015