*ALIVYO NENA MTANZANIA MZALENDO KUHUSU HOTUBA YA RAIS JK MWISHONI - TopicsExpress



          

*ALIVYO NENA MTANZANIA MZALENDO KUHUSU HOTUBA YA RAIS JK MWISHONI MWA MWEZI JANA KUHUSU PK(Pauk Kagame) NA CHOKOCHOKO ZAKE DHIDI YA JK* "Ukitaka kujua Busara ya MPUMBAVU mpe uhuru aongee kwani katika maisha cjaona kiongoz mvumilivu mwenye hekima na busara kama RAIS WANGU KIKWETE kwa maana kawapa uhuru wapumbavu waweze kumtukana watakavyo hayo tunayaona majukwaani wanavyomtusi kadiri wanavyoweza lakin yeye kimya.tuchukulie haliya kawaida mke na mume wanapogombana majirani huja na kutoa ushaur wao ili msirumbane kwani kunakuwa na kosa gani? Hata rais wetu alitoa ushaur kwa serikali rwanda wakae wazungumze na waasi wayamalize kwan wanaoathirika ni wanyarwanda anakosa gani?.hekima na busara vitu hv havifundishwi darasan bali ni ambavyo unapaswa kuwa navyo ili utu wako uweze kukamilika.NAKUTAKIA KILA LA KHERI RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE achana na waropokaji na kujifanya wao waongeaji na wajua kukosoa"
Posted on: Fri, 02 Aug 2013 22:17:33 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015