ASUBUHI TULIVU Mungu yu mwema kila wakati na kila wakati Mungu yu - TopicsExpress



          

ASUBUHI TULIVU Mungu yu mwema kila wakati na kila wakati Mungu yu mwema. Basi ni jukumu ketu kumpa sifa zisizo na kifani na kumwimbia kama vile Daudi alivyo mchezea. Injili ya leo ni kutoka Injili ya Luka 12;24-26-sisi tuko wa manufaa zaidi kuliko ndege. mwamshe mwenzio mwambie ni siku nyingine Bwana ametupa na kwa taratibu tumpe shangwe inayofaa.mwamshe kwa wimbo mtaamu na maneno ya utulivu Studioni ni Jacqueline Opar kumbuka Flora yuko likizo ajibarizi ufuoni
Posted on: Sat, 10 Aug 2013 03:17:11 +0000

Trending Topics



Da

Recently Viewed Topics




© 2015