Baadhi ya wasafiri nchini Marekani jana walipata ubwete baada ya - TopicsExpress



          

Baadhi ya wasafiri nchini Marekani jana walipata ubwete baada ya kusafiri TUSEME BURE tu kutumia shirika la ndege la UNITED AIRLINES kwa umbali wa tuseme kutoka Los Angeles to Hawaii na kurudi. Iliwezekana kwa wateja hao kulipa dola 5 - 10 tu za marekani ikiwa ni Airport security fee. Kwahiyo gharama ya tiketi ilikuwa ni ZERO. Shirika hilo la ndege lilishtukia tatizo hilo lililosababishwa na mfumo wao wa kompyuta zao za kufanyia booking kwenye mtandao. Waliposhtukia waliondoa mtandao wao wa kununua tiketi mtandaoni na kufunga vituo vyao vya simu. SHIRIKA HILO LA NDEGE LIMESEMA LITAWARUHUSU WATU WOTE WALIOBAHATIKA KUPATA TIKETI HIZO ambazo kiusahihi zingewagharimu kiasi kisichopungua dola za Marekani 800.
Posted on: Sat, 14 Sep 2013 06:23:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015