FB YA WANYAMA WOTE: Kuku ana update: Nitahamia api - TopicsExpress



          

FB YA WANYAMA WOTE: Kuku ana update: Nitahamia api jamaneni. Paka,Mbwa,ngombe,nguruwe and 50k others likes this. Ngombe: Usijali siz pia mimi nilizoea huko Kiambull pia wewe utazoea. Mbwa: pwahaha nkt. Ngombe: Ulitoka mombasa ama bado. Mbwa: Huko nimejienjoy mpaka nimetosheka saa hii niko home. Paka: lol. Kuku: Sasa mnacheka nini? Paka: Unafikiria mimi ni mcheap kama wewe umewai skia msee amemess na mimi?? Mbwa: Unaongea ufala hapa na ulikuwa umeshidwa kutoka kwa mtungi?? Paka goes OFFLINE Kuku: Ondoeni ufala hapa.NKT!!ngombe am not a whore kama wewe hunisaidii nakublock saa hii. Kuku anatoa post na anawablock wote. Maujinga ZA GOAT
Posted on: Tue, 23 Jul 2013 08:26:16 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015