HUWEZI KUANZISHA JAMBO,KITU AU KWA MFANO BIASHARA NA UKAWA - TopicsExpress



          

HUWEZI KUANZISHA JAMBO,KITU AU KWA MFANO BIASHARA NA UKAWA MKAMILIFU WA KUITENDA KWA UKAMILIFU , HATA MTAJI WENYEWE UTAANZA KWA KUSUA SUA HUKU UKIPAMBANA NA CHANGAMOTO NA UNAPO KABIDHIANA NAZO NDIPO UNAWEZA KUIMUDU BIASHARA YAKO NA KUANZA KUPATA FAIDA NA SIKU ZOTE HAKUNA JAMBO AU KAZI INAYO ANZA NA FAIDA NARUDIA ((((( MWANZO WA KAZI HAKUNA FAIDA))))) NA UKIANZA KAZI MSHAHARA NI MWISHO WA MWEZI. HATA SHULE IWE NA DAWATI MOJA WANAFUNZI WAKE CHINI. Lowassa anasema ukianzisha shule utajua changomoto zilizopo utazitafutia utatuzi yeye anaamini shule kwanza vingine baadae.NAMUUNGA MKONO KWA ASILIMIA TISINI 90% MAONI YANGU Kusema mnaweza lakini kutekeleza sio bora hata yule aliye zianzisha na endapo akikwama nadhani ufumbuzi mwingine wakuendeleza utapatikana tusiache kujaribu au kuanzisha hata kama itashindikana itakuwa ndo mwanzo wa utatuzi kuliko kuishia kwenye majukwaa, maofsini , MIDAHALO NA PIA kwenye mikusanyiko inayo shawishi upotoshwaji mimi naamini wengi wamefaidika na shule za KATA Napia hata mimi ada yangu kubwa niliyolipia KWA MWAKA hadi nafika chuo kikuu ni 289000/= NA HII NIYA CHUO KIKUU tena ilikuwa ni mwaka 2011 Leohii hata secondari ya kata ni zaidi ya hii.TUSIIBUE HOJA BINAFSI ZINAZO ZUIA KASI YA MAENDELEO KWA UMA KWA MASLAHI BINAFSI KAMA NI UMAARUFU utafute kwa kutatua matatizo na sio kukosoa na kupotasha PLEASE TUWAIGE HAWA MANDELA NA NYERERE NAPIA OBAMA TUACHANE NA KASUMBA YA KUIBUA HOJA ZISIZO ELEWEKA (TATA) NA KUSHINIKIZA UPOTOSHAJI HATA KILIMO KWANZA INAWEZEKANA NA KAMA IMESUASUA UNAWEZA KUTOA MCHANGO WA MAWAZO( UTATUZI) NA SIO KUPOTOSHA FROM I Eng Sianga Edward MIMI Namuunga mkono lowasa
Posted on: Sun, 04 Aug 2013 09:04:31 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015