Katika Spoti, Yanga yafyata mkia kwa wadhamini wa Ligi, yasema - TopicsExpress



          

Katika Spoti, Yanga yafyata mkia kwa wadhamini wa Ligi, yasema kesho itakwenda kupokea zawadi zao za ubingwa wa bara. Licha ya Simba kumtema, Poulsen asema Kaseja bado ni kipa wake namba moja na nahodha wa Stars inayoingia kambini kesho kujiandaa na Uganda. Julio ashangaa taarifa kuwa amekalia kuti kavu Simba, asema anaendelea na kibarua chake. Pan African bado kwafukuta, wanachama wanataka uchaguzi. Barani Uropa,Totenham yashinda mbio za kumuwania Mbrazil Poulinho
Posted on: Tue, 02 Jul 2013 17:52:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015