Katika hali halisi ya mapenzi ya siku hizi, ukitaka kumpata mpenzi - TopicsExpress



          

Katika hali halisi ya mapenzi ya siku hizi, ukitaka kumpata mpenzi wa kweli itakughalimu sana na wakati mwingine uishie kukutana na wizi wa hiari! Binafsi sielewi mantiki ni nini kama unamtongoza mwanamke kwa lengo tu, la ku- du! halafu anakwambia subiri tu nitakwambia. wakati unaendelea kusubiri, unaanza kupigwa BILL! Mara naomba vocha, mara kesho sina nauli ya kwenda kazini! mara hela ya lunch sina! bado anataka kwenda saloon kwa wiki mara tatu. Sasa unajiuliza, hivi huyu namhudumia hivi ili nipate mgegedo wa siku moja tu au namhudumia kama mke?!! Siku utakayompata ukimuuliza, atakwambia eti nilkuwa nakuangalia kama kweli unanipenda?! Sasa utamuangaliaje mtu ambaye amesha kueleza kuwa anataka ku- du na wewe tu? Kwa maana nyingine ndiyo sababu hasa inayopelekea wanaume wengi kuamua kwenda kwa changu doa kwani yeye mnakubaliana ukishapiga mabao yako, biashara inaishia hapohapo. Hata mkikutana kesho mkataba unaanza upya. Akina dada yapaswa sasa mbadilike ili kama unakubali basi mmalizane kuliko kuendelea kutiana hasara.
Posted on: Sat, 14 Sep 2013 07:27:21 +0000

Trending Topics



n, likely to quit BJP
Invita el Movimiento Obrero de Acción Católica PASCUA DEL

Recently Viewed Topics




© 2015