Kazi ya Mwakyembe Uwanja wa Ndege Dar yaanza kuonekana... - Mmoja - TopicsExpress



          

Kazi ya Mwakyembe Uwanja wa Ndege Dar yaanza kuonekana... - Mmoja adakwa na Heroin, Mwakyembe asema kuna mzaha na watu hawana woga kwani ni asubuhi ya jana tu alifanya ukaguzi wa kushtukiza. - Asisitiza kuwa hatanii na sasa ukikamatwa unatajwa jina na unapigwa picha - Asema kesi hiyo anaifuatilia mwenyewe na hataki habari za "uchunguzi unaendelea" kwani ushahidi wa picha tu utatosha kuanzisha kesi. Endelea kusoma zaidi => bit.ly/14PeV37
Posted on: Thu, 15 Aug 2013 18:49:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015