Kwa jina la baba, la mwana na la roho mtakatifu. Tunawapa pole - TopicsExpress



          

Kwa jina la baba, la mwana na la roho mtakatifu. Tunawapa pole viumbe waliouliwa na al-shabaab huko Nairobi westgate shopping. Na tunawatakia afueni waliojeruhiwa wameua watu wasio na hatia hapo kiss fm Ruhita Andatya hakuwa na ubaya na Waislamu ingawa kuna mtangazaji mmoja wa kiss fm mwaka 2010 alisema "all muslims are terrorist" na hakutaka kuomba msamaha mpaka waislamu walipotaka kuchukua hatua kali ndio akaomba msamaha. Tuishini kwa amani na upendo bwana atatulinda na athari zozote zile. Twendeni kanisani tukamtukuze bwana. Amen. Nawatakia watiwi wote Jumapili njema.
Posted on: Sun, 22 Sep 2013 04:02:47 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015