Machali dem akiaccept friend request yako usijaze wall yake na - TopicsExpress



          

Machali dem akiaccept friend request yako usijaze wall yake na maulevi zako. Respect ni kitu ya maana sana. Kama ni kumuinbox unaenda kwa heshima na adabu Si ati unaenda kwa inbox yake ni kama unaenda choo.NKT. Akilenga inbox yako jua humpendezi na hadai stori zako buda tembeza kisogo na umu UNFRIEND. Ukilenga inbox yang naku UNFRIEND with immediate effect. Unatafuta kengine unatuma request. Kwani iko nene?????? KUBAFF!!!
Posted on: Mon, 22 Jul 2013 20:07:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015