Mbona sioni maoni yako ndani ya Katiba Mpya? Ona maoni ya - TopicsExpress



          

Mbona sioni maoni yako ndani ya Katiba Mpya? Ona maoni ya wenzio; DEREVA: Askar wa Trafiki wasiwepo barabaran, WANAFUNZ: Somo la Hesabu lifutwe, M/BIASHARA: TRA itaifishwe, WANACHUO: Bodi ya mikopo imilikiwe na wazazi, WAKAZI WA MBAGALA/G.MBOTO: Maghala ya mabom yakajengwe IKULU! WALIM: Maandalio na Maazimio yafutwe, WANANDOA: Vyeti vya ndoa viwe na Expiry date, POLISI: Lindo la usiku lisiwepo, WAKULIMA: Tulipwe mishahara. VINYOZI; Tulipwe umeme ukikatika.... Em weka na yako hapa tuyaone
Posted on: Mon, 22 Jul 2013 07:03:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015