NARUDIA KAULI YA RAIS Dr JK Kikwete KUWA VIONGOZI MLIOMADARAKANI - TopicsExpress



          

NARUDIA KAULI YA RAIS Dr JK Kikwete KUWA VIONGOZI MLIOMADARAKANI NA MNAOTAKA UONGOZIWA KIPINDI KIJACHO KUWA MJIANDAE KISAIKOLOJIA KWANI KUTAKUWEPO NA MABADILIKO YA AJABU NA YAAINA YAKE TUSIWE WATUWA KUZIMIKA TUWE WATU WA KUBADILIKA KUENDANA NA MABADILIKO Huu ni wakati wa kutumia akili na ufaamu mkubwa sana kuliko uzoefu na nguvu. kiongozi mzuri ni yule anayeaandaa warithi wake: succession leadership hivi ulishawahi kujiuliza Zitto anawaandaaje wapiga kura wake kuwa viongozi baada yake kupitia anachokiamini? Huu ni wakati ambao wavivu wakufikiri watachanganyikiwa na kuamini ya ccm. kumbe JESHI LAPOLISI, USALAMA WA TAIFA, CCM, MATAJIRI WA HALI YA JUU, JESHI, SERIKALI YA CCM hawako upande wa wewe mtanzania wala mimi mtanzania. hivi unadhani husipokuwa na viongozi wa kuondoa takataka kama Lowassa, Karamagi, Kamala, na watu wengine kama hao wataweza kumuondoa Zitto au Kitini? ELIMU KWA MANUFAA YA UMMA NA SIO YA CCM..............! Mwaka 2015 kuna watu watashikwa na presha wasipokuwa makini, make CCM inajiandaa kwa lolote na hakika hakuna mtanzania hasiyejua mazitto ya ccm dehumanization 29 minutes ago · Like
Posted on: Sat, 23 Nov 2013 08:02:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015