Niaje admin hid my id, mimi ni mwanaume kutoka Kitui mimeoa na - TopicsExpress



          

Niaje admin hid my id, mimi ni mwanaume kutoka Kitui mimeoa na tuko na watoi wawili. Mimi peke yangu ndio nafanya kazi, wife wangu bado anasaka. Nimejaribu niwezavyo kutunza familia yangu lakini bibi yangu atosheki na anadai vitu ambazo ziweziafford. Kwanza ilikuwa flat screen, Dvd player na Dstv dish, hizi zote nikastruggle hata nikakopa loan ambayo bado sijamaliza malipa ili kuzinunua. Sasa jirani alinunua gari juzi, pia bibi yangu anadai ati pia mimi ninunue gari na sina pesa huku akinitishia kuniacha iwapo sitainunua, ingawa nampenda lakini mahitaji yake ni mengi. Nifanyeje?
Posted on: Wed, 30 Oct 2013 08:58:06 +0000

Trending Topics



class="stbody" style="min-height:30px;">
What a load of old bollocks. If you shoot someone in the head with
Bien.hu | Nyilas nov. 28, csütörtök: Úgy tűnik, a

Recently Viewed Topics




© 2015