SYMPTOMS THAT MDOMO YAKO HUNUKA MBAYA 1. Huwa unawin argument - TopicsExpress



          

SYMPTOMS THAT MDOMO YAKO HUNUKA MBAYA 1. Huwa unawin argument haraka sana. 2. Unapigia boy wako story kali lakini anaangalia kando maze na mapua yake anatwist twist kama exhaust pipe yenye imevunjika. 3. Maze ukiyawn umbwa lazima ibweke halafu inzi mbili lazima zepigane vita karibu na mapua yako. 4. Unataka kupiga demu wako munju halafu anakuambia ati siku hizi hapendangi munju. 5. Unataka kuambia buda yako kitu kwa maskio halafu anakuambia ashajua kenye unataka kusema. 6. Maze kama wewe ni mboch na unaimbia mtoi halafu analia na soprano yenye haiko kwa keyboard, jua dental formula yako inaunya. 7.Pastor anaombea watu kanisani halafu ikifika turn yako pastor anakuambia eti usiseme amen, maze hapo pia unataka nikuchanue ? Si unajua kazi ya paradontax nugu wewe ??? gani igne unajua
Posted on: Mon, 29 Jul 2013 15:41:14 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015