Status Photo / Video Offer, Event + What have you been up - TopicsExpress



          

Status Photo / Video Offer, Event + What have you been up to? RADIO KAYA 2 seconds ago near Mombasa Ikikumbukwa katika mgomo wa walimu wa mwaka jana,serikali ilisukuma mbele tarehe za mitihani ili kufidia wiki tatu ambazo walimu walikua wakiendeleza mgomo.hivi sasa mgomo wa walimu umeingia wiki ya nne na Katibu wa wizara ya elimu Jacob Kaimenyi asema mtaala huu wa masomo hautaongezwa kufidia siku ambazo Ikikumbukwa katika mgomo wa walimu wa mwaka jana,serikali ilisukuma mbele tarehe za mitihani ili kufidia wiki tatu ambazo walimu walikua wakiendeleza mgomo.hivi sasa mgomo wa walimu umeingia wiki ya nne na waziri wa elimu Jacob Kaimenyi asema mtaala huu wa masomo hautaongezwa kufidia siku ambazo zimepotea kwa mgomo. Kaimenyi aongeza kuwa viongozi wa shule wabuni mikakati ya kuhakikisha wanafunzi wamefikia yale waliopoteza wakati wa mgomo. Je, ratiba ya masomo na ile ya mitihani ya kitaifa ibadilike kufuatia mgomo wa walimu unaoendelea, hasa ikirejelewa kuwa wanafunzi katika shule za kibinafsi wanaendelea na masomo wakati wale wa shule za uma wakisalia nyumbani?ni Voroni Enehu ukiwa na Fatuma na Kalambua
Posted on: Mon, 15 Jul 2013 03:38:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015