Stupid Questions well answered.. Q.umenyoa nywele? A.hapana - TopicsExpress



          

Stupid Questions well answered.. Q.umenyoa nywele? A.hapana nimebadilisha kichwa Q.hiyo simu umenunua? A.hapana nimeitengeneza mwenyewe Q.utakula mboga na nini? A.mdomo Q.gari limejaa nitakaa wapi? A.usijali dereva anashuka next stage utapata kiti Q.hiyo ni accident? A.hapana ni dereva ameamua kupark gari upside down Q.strike imeisha? A.hapana ni sossion ako halftime Q.umepause movie? A.hapana wemechoka kuact so wanarest Q.hiyo ni kuku? A.hapana ni dame wa nyeri Q.umelala? A.hapana nimekufa Q.unasoma khadija? A.hapana nasoma kitabu “fab weekend”
Posted on: Sat, 20 Jul 2013 06:50:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015