TRUE KAMBA STORI Mzee mmoja alisikia GOOD NEWS KWA RADIO.. "kama - TopicsExpress



          

TRUE KAMBA STORI Mzee mmoja alisikia GOOD NEWS KWA RADIO.. "kama unajua uko na watoto Watano, mishara yenu itaongezwa kwa asilimia 50" kwa sababu mzee alikuwa na watoto wanne, ikabidi amemwomba mkewe kuwa " tafadhali sweety, usiskie vibaya! Sitaki hizo hella zitupite... Ninakuanga na mpango wa kando! Na amini usiamini, ako na mtoto wangu mmoja.. Naomba niende nikamchukue" mkewe akakubali bila kupinga. Ungeshindwa ni kwa nini. Mzee akaenda akachukua yule mtoto na aliporudi nyumbani kwake, akapata wale watoto wake wanne hawayuko. Akampata mkewe peke yake. Mzee: watoto WANGU wako wapi? Mkewe: Mababa zao walikuja wakawachukua,.. Ni kama pia hao walisikiliza GOOD NEWS.
Posted on: Mon, 01 Jul 2013 11:21:52 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015