Top ten wonderful names from Tanzania 1. Ndugu TAMPERA - TopicsExpress



          

Top ten wonderful names from Tanzania 1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO- Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992. 2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA - Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998. 3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE- Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002. 4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU - Dereva wa mabasi ya Hood. 5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya. 6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA - Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro. 7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania. 8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI- Waziri wa Ujenzi Tanzania. 9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam. 10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE - Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)
Posted on: Tue, 13 Aug 2013 18:56:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015