Tunapougua na kuhitaji damu hospital huwa tunauliza hii damu ni ya - TopicsExpress



          

Tunapougua na kuhitaji damu hospital huwa tunauliza hii damu ni ya Mkristu au Muislam? HAPANA, basi ni mpango wa Mungu tupendane, na mwisho wa siku wote tunachimbiwa shimoni kwa kifusi cha udongo, kuna Mkristu au Muislam anayejua atakufa leo au kesho? HAPANA, ni mpango wa Mungu. Ewe Muislam au Mkristu USIKUBALI kudanganywa amani yetu ikatoweka kwa maslahi ya watu wachache, tuvumiliane tukiache kizazi chetu kikiwa salama kama tulivyoachwa tukiwa salama. MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Posted on: Tue, 30 Jul 2013 06:33:16 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015