Zitto Kabwe Vyama vya siasa kunishambulia sio jibu la matakwa - TopicsExpress



          

Zitto Kabwe Vyama vya siasa kunishambulia sio jibu la matakwa ya kisheria ya kutaka vikaguliwe. Msajili wa vyama hana taarifa za ukaguzi. Nape anapiga kelele kuwa wamekaguliwa, anafanya siasa kwenye masuala ya kisheria. Kama anazo taarifa za ukaguzi zilizokaguliwa na CAG apeleke kwa Msajili sio kupiga kelele. Mimi nafuata sheria na kanuni za Bunge zinazotaka kusimamia matumizi ya fedha za umma. Ruzuku ni fedha za umma
Posted on: Thu, 17 Oct 2013 05:45:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015