habari zenu vijana. nigependa kuwatarifu kuwa tuko kwenye week ya - TopicsExpress



          

habari zenu vijana. nigependa kuwatarifu kuwa tuko kwenye week ya amani duniani kwa kusema ivo tuta adhimisha kwa kuwa na mijadala ya amanmashule ya msingi na secondari kwa theme ya ELIMU KWA AMANI ambapo jumamosi hii tutakuwa shule ya msingi kumbukumbu na jumamosi ijayo tutakua azania secondari na kujumuisha na kumalizia kwa wote pale tare 21 sep 2013 donbosco ya mbuyuni. UNCTN KWA MAENDELEO................
Posted on: Fri, 06 Sep 2013 15:01:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015