naombeni muendelee ya ushirikiano wenu kulike na kushare page. #kiuzalendo zaidi Ni Taasisi isiyo ya kiserikali iliyoundwa kwa misingi ya kijamaa kwa lengo kuu la kulinda maslahi ya kurudisha uzalendo wa mtanzania. Taasisi hii inajihusha zaidi na mambo yanayohusisha maisha ya mtanzania kwenye nyanja za kisiasa na kijamii. Tanzania Moja haina misimamo ya kisiasa, kazi kubwa ni kuleta uelewa na ufahamu miongoni mwa watanzania kuhusu rasilimali zilizopo katika kujitafutia maendeleo yetu. Malengo makuu ikiwa ni kuhusisha vijana katika huduma za maendeleo katika uchumi, sera, tafiti mbalimbali na elimu juu ya UKIMWI/VVU.
Posted on: Fri, 02 Aug 2013 07:36:40 +0000