niko kando ya barabara na nimelazwa nikipulizwa hewa na watu wa - TopicsExpress



          

niko kando ya barabara na nimelazwa nikipulizwa hewa na watu wa Red Cross as a first aid. yani nilipanda boda ya msapere mwingine na jamaa kumbe since last year ajabrush meno. na mdomo yake inanuka ka choo ya kanjo + Muratina ya jana usiku.so, mchanganyiko ya sote mbili zilinifanya nifaint mpaka nilianguka juu ya motor bike puh. sijui ka nimeumia but nahisi uchungu kwa mazigwembe ya tarimbo na hii area ya dimpos ya matako. mniombee nisipelekwe hosi na muadvice wasapere wawe wakibrush please . #pk mtungi ako kando ya barabara
Posted on: Mon, 26 Aug 2013 09:04:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015