siku tatu unusu tumekuwa tukiangazia jinsi mateka wanahangaisha - TopicsExpress



          

siku tatu unusu tumekuwa tukiangazia jinsi mateka wanahangaisha vichwa vya usalama nchini, lakini mwishowe kongole kwa wanajeshi wetu wakaonyesha ukakamavu wao kenya ipo imara.Naomba yeyote a c limbikiziwe kidole cha lawama iwe ni serikali au vikosi vya usalama bali tuwe wazalendo, maana vikosi hivi ni binadamu kama wewe ndo huiunda kwa hivyo kwa maarifa yangu ni kuwa shambulizi hili lilikuwa likiundwa humu na mkenya mmoja huenda kukawa alijua lakini kwa kutokuwa mzalendo tumemwaga damu ushindwe na naomba kuwa ulaaniwe penda nchi yako kwa hali na mali na wape mori walioshiriki katika shughuli nzima west gate bila kusahau maombi kwa waathiriwa na waliopoteza maisha tumwombe mungu awarai na awalaze mahala pema peponi na majeruhi waweze kupata nafuu kwa haraka.heko rais wa jamhuri ya kenya na washikadau wote bila kumsahau abbas gullet mkuu wa msalaba mwekundu na shukrani kwa wakenya wote mliotuma hela na wale walioshiriki kwa kutoa damu "polisi ni wewe, mimi, na yule penda kenya uishi kenya kwa amani".
Posted on: Tue, 24 Sep 2013 15:09:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015