vijana tuamke wote tijisaidie leaders wa tommorro ni uwongo - TopicsExpress



          

vijana tuamke wote tijisaidie leaders wa tommorro ni uwongo usiwaskize zile kazi wakisema ziko wapi; zile promises walitoa ziko wapi? vile time me naona tunaendelea bado kuumia huku mtaani hakuna MP anashughulika hewa chafu mamtaro zinaziba, ni noma makarau nao wanaiba, kila siku tunashindwa tutakimbilia nani after kila,electun tunaomba kukue na amani, roho inauma UKABILA ni kitu kubwa utanibagua aje juu damu haina lugha? nipe nkazi nime-qulify kuifanya, utapatia aje cousin yako na unajua hayuko sawa? eh mungu nionyeshe njia ingine ya kupenya najua shida ni mob lakini mbado naipenda kenya!!#jua cali kenya we pray ~bless morn budies
Posted on: Fri, 18 Oct 2013 05:19:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015