Pwanifm Fmstation Posts - TopicsExpress



          

Posts by Pwanifm Fmstation



Tume ya huduma za mahakama imewasilisha kesi mahakamani kupinga
Tume ya huduma za mahakama imewasilisha kesi mahakamani kupinga hatua ya rais Uhuru Kenyatta kubuni jopo la kuwachunguza wanachama wake sita. Jaji Geo...
viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Mombasa wameonekana kubadili
viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Mombasa wameonekana kubadili msimamo wao kuhusu mradi wa ujenzi wa reli hiyo kutoka Mombasa hadi Malaba. Wakiongo...
Mahakama ya kimataifa ya ICC imeiruhusu Kenya kuwasilisha maelezo
Mahakama ya kimataifa ya ICC imeiruhusu Kenya kuwasilisha maelezo yake kuhusu hatua yake ya kutaka kujiondoa kwenye mkataba unaobuni mahakama ya ICC. ...
Vikao vya kesi dhidi ya naibu rais William Ruto na Joshua Sang
Vikao vya kesi dhidi ya naibu rais William Ruto na Joshua Sang katika mahakama ya ICC vimeahirishwa hadi jumanne wiki ijayo kufuatia kuchelewa kwa mas...
Mvuvi mmoja anahofiwa kufariki huku wengine wawili wakinusurika
Mvuvi mmoja anahofiwa kufariki huku wengine wawili wakinusurika kifo baada ya dau lao kupigwa na mawimbi yaliyotokana na upepo mkali baharini katika e...

Trending Topics




© 2015