Muslim of Africa Posts - TopicsExpress



          

Posts by Muslim of Africa



Msahafu wa kihistoria ulioandikwa kwa mkono umeonekana katika
Msahafu wa kihistoria ulioandikwa kwa mkono umeonekana katika msikiti wa zamani ulioko Bodrum katika mji wa bandari wa Mugla, huko nchini Uturuki. ...
Kundi la askari wa Jeshi la Majini la Marekani limefanya
Kundi la askari wa Jeshi la Majini la Marekani limefanya shambulizi katika pwani ya mji wa kusini mwa Somalia dhidi ya wapiganaji wa Al Shabab jana. ...
Mabudha wenye misimamo mikali wanaendelea kuwatesa na kuwanyanyasa
Mabudha wenye misimamo mikali wanaendelea kuwatesa na kuwanyanyasa Waislamu wa Myanmar huku serikali ya nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia ikionek...
SHEIKH AZZAN AACHIWA KWA DHAMANA ******************* Jaji Mkuu wa
SHEIKH AZZAN AACHIWA KWA DHAMANA ******************* Jaji Mkuu wa Zanzibar Othman Omar Makungu leo ametoa dhamana kwa Kiongozi mwandamizi wa Jumuiya ...
Rais Barack Obama wa Marekani na Nouri al Maliki Waziri Mkuu wa
Rais Barack Obama wa Marekani na Nouri al Maliki Waziri Mkuu wa Iraq wamekubaliana juu ya mpango wa Washington wa kuipatia serikali ya Baghdad zana za...
Viongozi wa makanisa nchini Kenya wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta
Viongozi wa makanisa nchini Kenya wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta kutoshirikiana na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye makao yake mjini Hague, U...
Hatima ya dhamana ya Sheikh Ponda Leo Morogoro. Uamuzi wa dhamana
Hatima ya dhamana ya Sheikh Ponda Leo Morogoro. Uamuzi wa dhamana ya mshtakiwa Sheikh Ponda Issa Ponda anayekabiliwa na mashtaka matatu unatarajia kut...

Trending Topics




© 2015